Machinga Marufuku Katikati ya Jiji la Dar es Salaam

Zaidi ya wafanyabiashara wadogo 2,000 waliokuwa wakifanya shughuli zao maeneo yasiyo rasmi katika Manispaa ya Ilala, wametengewa masoko manne kwa ajili ya kufanya biashara. Masoko hayo ni Kigogo Fresh lililopo eneo la Pugu, Ukonga karibu na gereza, Tabata Muslim na Kivule ambayo wafanyabiashara hao maarufu kama wamachinga wanatakiwa kwenda. Wafanyabiashara waliolengwa zaidi ni wale...
Read More

No comments:

Post a Comment