Mwalimu wa Shule ya Msingi Tambaruka Kata ya Mkwamba wilayani Nkasi mkoani Rukwa, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumsababishia ujauzito mwanafunzi wake anayesoma darasa la tano katika shule hiyo. Ofisa wa Elimu ya Msingi Wilaya Nkasi, Missana Kwangulla alikiri kutokea kwa tukio hilo na kusema mtuhumiwa amekabidhiwa katika kituo cha polisi kwa ajili ya hatua zaidi. Kwangulla...
No comments:
Post a Comment