Idadi wa watumishi hewa nchini imeendelea kuongezeka ambapo takwimu za jana zinaonyesha kuwepo kwa watumishi hewa 10,295 Akizungumza leo wakati wa maadhimisho ya sherehe za Mei Mosi, Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dr John Pombe Magufuli amesema kati ya watumishi hao hewa, 8,373 wanatoka Tamisemi na watumishi 1.922 wanatoka serikali...
No comments:
Post a Comment