Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) Mkoa wa Pwani limemkamata mmoja wa wamiliki wa eneo la maegesho ya magari la White Star, Munira Mbowe akidaiwa kujiunganishia umeme kinyume cha sheria. Mbowe ambaye ni mmiliki wa eneo hilo lililopo Kiluvya kwa Komba nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam, alikamatwa jana baada ya kufanyika msako wa kushtukiza kwa watu wanaodaiwa kujiunganishia umeme kinyume...
No comments:
Post a Comment