Ajali Mbaya Yaua 6 na Kujeruhi 8, Same kilimanjaro

WATU sita wamefariki dunia na wengine nane wamejeruhiwa vibaya katika ajali iliyohusisha basi dogo la abiria aina ya Hiace lililokuwa likitokea Mjini Same kuelekea Njoro wilayani Same, ambapo liligongana na gari ya mizigo aina ya Fuso muda mfupi baada ya kuondoka katika kituo cha abiria cha Same Mjin...
Read More

No comments:

Post a Comment