Hawara wa Mfanyakazi wa ndani Atiwa Mbaroni Akihusishwa na Mauaji ya Aneth Msuya ( Dada wa Bilionea Msuya )

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewakamata watu wengine wawili, akiwamo mpenzi wa mfanyakazi wa ndani wa Aneth Msuya, aliyeuawa kwa kuchinjwa nyumbani kwake. Aneth, ambaye ni dada wa Bilionea Erasto Msuya, aliuawa kwa kuchinjwa na watu wasiojulikana Mei 26 nyumbani kwake Kibada, Kigamboni jijini Dar es Salaam. Wauaji hao hawakuchukua chochote kwenye nyumba hiyo. Bilionea...
Read More

No comments:

Post a Comment