Amtaka Mama yake Amtunzie Watoto Baada ya Kumuua Mkewe kwa Kumchinja na Kisha na Yeye Kujinyonga

Watu watatu wamefanya mauaji ya kutisha, wawili wamechinja wake zao, huku mmoja akiacha ujumbe wa kumtaka mama yake mzazi amtunzuie watoto na mwingine amemuua mama yake. Katika tukio la Dodoma, Samson Joramu(44), mkazi wa Chololo, Kata ya Kikombo, alimchinja mke wake, Rehema Joram (43) kabla ya kujiua kwa kunyonga katika shamba lake. Watu walioshuhudia walisema, Joramu baada ya kumuua...
Read More

No comments:

Post a Comment