Watuhumiwa 711 Wakamatwa Dar es Salaam

Kamanda wa polisi kanda maalumu  Dar es salaam Simon .N. Sirro amesema jumla ya watuhumiwa 711 wa makosa tofauti tofauti wamekamatwa kati ya siku ya juma tatu mpaka Alhamisi usiku wiki hii. Akitoa taarifa kwa wanahabari leo tarehe 11 Kamanda Sirro amesema kuwa watuhumiwa hao walikamatwa kwa makosa mbalimbali yakiwemo ya unyang’anyi wa kutumia nguvu, kukutwa na bhangi na gongo kucheza...
Read More

No comments:

Post a Comment