Jeshi La Polisi Lamshikilia Mwanamke Mmoja Kwa Tuhuma Za Kutupa Mtoto Chooni

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linamshikilia, Mwananke mmoja alietambulika kwa jina la Rosemary Khiwili (23) mkazi wa Kimara  kwa kosa la kutupa mtoto katika shimo la choo. Rosemary ambaye ni mfanyakazi wa Hoteli ya Landmark jijini Dar es Salaam anadaiwa kumtupa mtoto mchanga katika choo cha shimo cha nyumba anayoishi na mtoto huyo amegundulika na mama mwenye nyumba, Upendo...
Read More

No comments:

Post a Comment