Kipindupindu Chatafuna Milioni 900

Serikali imetoa Sh900 milioni kwa ajili ya mapambano dhidi ya ugonjwa wa kipindupindu nchini. Fedha hizo zilitolewa katika kipindi cha Novemba mwaka jana. Akizungumza na waandishi wa habari jana mjini Dodoma, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu alisema watu 21,634 waliugua ugonjwa huo na wengine 338 kufariki dunia tangu ulipolipuka Agosti 15 mwaka...
Read More

No comments:

Post a Comment