Magufuli ataka wanaopita kwenye barabara za mwendokasi zichomolewe tairi za magari yao na ziuzwe

Rais John Pombe Magufuli amechukizwa na uharibifu na matumizi mabaya ya miundombinu ya mabasi ya mwendo kasi na kuagiza mamlaka zinazohusika ziwachukulie hatua kwa wasiofuata sheria. Akiongea wakati akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa Maktaba ya kisasa Chuo kikuu cha Dar es Salaam, Rais John Pombe Magufuli amevitaka vyombo vya sheria kuwachukulia hatua kali baadhi ya watu wanaohujumu miradi...
Read More

No comments:

Post a Comment