Wananchi Waanza Kuhama Wakiogopa Kuchinjwa Tanga

Ukatili uliofanywa na watu wasiojulikana wa kuwachinja watu wanane wa kitongoji cha Kibatini mkoani Tanga, umesababisha wakazi wa kitongoji hicho kuanza kuyahama makazi yao. Watu hao walichinjwa usiku wa Mei 31 nje ya nyumba ya mwenyekiti wa kitongoji hicho kwa madai kuwa walisababisha “vijana” wao kukamatwa na polisi baada ya kutoa taarifa zao wakati wakizurura kwenye eneo lao. Waliouawa...
Read More

No comments:

Post a Comment