MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amemsimamisha kazi Mhandisi wa Mkoa, Josephat Shehemba kwa kushindwa kutimiza wajibu wake, ikiwemo usimamizi wa barabara na kusababisha kujengwa chini ya kiwango. Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Makonda alisema amefikia uamuzi wa kumsimamisha kazi baada ya kuona injinia huyo ameshindwa kutekeleza majukumu yake ya usimamizi. Alisema...
No comments:
Post a Comment