Msemaji wa Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) Dk Roynald Mfungahema akizungumza wakati wa mkutano na wadau wa makampuni ya simu za mkononi jana kuhusu uzimwaji wa simu feki uliyofanyika usiku wa kuamkia leo. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa Dar es salaam, Paul Makonda. Picha na Omar Fungo
Dar es Salaam.Wakati simu feki zikiwa zimezimwa usiku wa kuamkia leo, imeelezwa kuwa nusu ya bidhaa mbalimbali zinazotumika nchini zikiwamo dawa za binadamu ni feki.
Imeelezwa kuwa asilimia 50 ya bidhaa hasa dawa za binadamu na vifaa vya umeme havina sifa, hivyo kuhatarisha maisha ya watumiaji wake.
No comments:
Post a Comment