Ugonjwa Usiofahamika Ulioibuka mkoani Dodoma Na Kuwaathiri watu 32 Wafahamika

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, amesema ugonjwa usiofahamika ulioibuka mkoani Dodoma, unatokana na sumukuvu inayopatikana kwenye nafaka. Akizungumza jijini, Dar es Salaam jana, Ummy alitolea ufafanuzi kuhusu ugonjwa huo na kuongeza ndani ya wiki moja, kumekuwa na ongezeko la wagonjwa 11 na kufanya jumla ya wagonjwa kufikia 32, ingawa idadi ya vifo...
Read More

No comments:

Post a Comment