Waziri Nchemba Awaonya Polisi Matumizi ya Nguvu

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba ameitaka Polisi kutotumia nguvu kubwa katika mambo yasiyokuwa na manufaa kwa wananchi ila nguvu hizo zitumike kupambana na biashara ya dawa za kulevya kwa maslahi mapana ya taifa. Nchemba ameyasema hayo juzi wakati akifunga mafunzo ya awali ya polisi na uhamiaji, katika Shule ya Polisi Tanzania-Moshi, ambapo zaidi ya wanafunzi 3,000 walihitimu...
Read More

No comments:

Post a Comment