Msanii wa muziki Rehema Chalamila a.k.a Ray C usiku wa jana alikamatwa na jeshi la polisi maeneo ya Kinondoni Manyanya almaarufu ‘Kinondoni kwa Mpemba’ jijini Dar es salaam baada ya kuzidisha madawa ya kulevya na kuanza kupiga makelele barabarani akidai anataka kutekwa huku akitishia kuvua nguo. Habari zinadai kuwa mama yake mzazi amekuwa akikesha kumtafuta mrembo huyo kutokana na...
No comments:
Post a Comment