VIGOGO wakiwamo wabunge na wananchi wengine, walionunua nyumba za serikali na kutomaliza kulipa madeni yao kwa wakati kama mikataba yao inavyoelekeza, wameanza kuondolewa kwa nguvu kwenye nyumba hizo na nyumba kupigwa mnada ili kupata fedha za kulipa madeni ya Sh bilioni sita. Madeni hayo serikali inadai kupitia Wakala wa Majengo Tanzania (TBA). Akizungumza Dar es Salaam jana, Mkurugenzi...
No comments:
Post a Comment