Abiria 10 Wahofiwa kufa maji, 20 Wanusurika

ABIRIA 10 kati ya abiria 30 waliokuwa wakisafiri kwenye boti wakitokea Mitomoni, wilaya ya Songea Vijinini, mkoani Ruvuma kwenda mnadani katika wilaya hiyo wanahofiwa kufa maji baada ya boti hiyo kuzama kwenye Mto Ruvuma. Habari zilizopatikana jana mjini hapa zilieza kuwa, boti hiyo ilikuwa imejaza abiria pamoja na mizigo iliyokuwa ikipekwa kwenye mnada wa hadhara ambao upo jirani na kijiji...
Read More

No comments:

Post a Comment