Maiti Yazuiliwa hospitali ya Muhimbili ikidaiwa fedha.

<img src="http://www.itv.co.tz/media/image/Muhimbili21.jpg" class=""> Hospitali ya Taifa Muhimbili imegoma kuruhusu mwili wa marehemu Bi Hilda Lukas miaka 30 aliyefariki dunia June 26 katika hospitali hiyo, akisumbuliwa na ugonjwa wa utumbo kutoboka huku ikidai lazima fedha yote wanayomdai marehemu ilipwe ambayo ni sawa na shilingi milioni moja na laki moja na nusu kwa mujibu wa ndugu...
Read More

No comments:

Post a Comment