Bodi ya Utalii nchini imetoa taarifa kufafanua kuhusu mlima Kilimanjaro baada ya shirika moja la habari la Marekani kudaiwa kuchapisha taarifa iliyoonekana kuashiria mlima huo unapatikana Kenya. Taarifa hiyo imekuja baada ya kutokea kwa kifo cha dereva wa kimataifa wa mbio za magari Guguleth Zulu, aliyefariki dunia wakati akipanda Mlima Kilimanjaro. Kwa mujibu wa taarifa ya bodi ya utalii...

No comments:
Post a Comment