Mikoa ya Dar es Salaam na Dodoma Yaongoza Kwa Mapenzi ya Jinsia Moja

Takwimu zilizotolewa na wizara ya afya, maendeleo ya jamii jinsia , watoto na wazee nchini zinaonyesha kuwa mkoa wa Dar es salaam na Dodoma inaongoza kwa vitendo vya mapenzi ya jinsia moja Akiongea na waandishi wa habari jana jijini Dar es salaam waziri wa wizara hiyo Mhe. Ummy Mwalimu alisema kutokana na hali hiyo wizara imepiga marufuku matumizi ya vilainishi vinavyotumiwa na baadhi ya makundi...
Read More

No comments:

Post a Comment