Bodaboda Wakaidi Agizo la RC Makonda

CBLICHA ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuwataka waendesha bodaboda na abiria wake kutii sheria ya kuvaa kofia za pikipiki (helmet), kamera yetu imewanasa baadhi ya abiria na madereva wao wakionekana kukaidi agizo hilo.
Kamera yetu imenasa matukio hayo katika mitaa mbalimbali ya Posta jijini Dar miongoni mwa madereva bodaboda na abiria wao wakionekana bila kuvaa helmet jambo ambalo ni hatari kwa maisha yao.

No comments:

Post a Comment