Mapambo ya uzio yenye rangi ya bendera ya Tanzania yakiwa na minyororo, yameonekana kuwa kivutio katika sehemu mbalimbali ndani ya maeneo ya Posta jiji la Dar.
Kamera yetu pia ilizunguka hadi katika Barabara ya Ali Hassan Mwinyi inayoanzia maeneo ya Morocco kupitia maeneo ya Leaders kote kukionekana kupambwa kwa kuzungushiwa vyuma na minyororo kiasi cha kuwavutia wapitaji.
NA DENIS MTIMA/GPL
No comments:
Post a Comment