Ofisi za Bunge kuhamia Dodoma Septemba mwaka huu

Ofisi za Bunge zilizopo Jijini Dar es salaam zinatarajia kuhamishiwa Dodoma mwezi Septemba mwaka huu, ikiwa ni utekelezaji wa agiza la Rais Magufuli la kuhamishia shughuli za serikali Dodoma. Taarifa hiyo imetolewa na Spika wa Bunge, Job Ndugai jana na kusema kuwa kwa bunge suala la luhamia Dodoma siyo gumu kwa kuwa tayari makao makuu yake yako Dodoma. Alisema tayari alikwishatoa maagizo...
Read More

No comments:

Post a Comment