Spika wa Bunge Job Ndugai Awaalika Wapinzani Kwenye Meza ya Mazungumzo ili Kumaliza Tofauti Zilizopo

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai, amekiri bunge hilo kusambaratika na kuwa vipandevipande kutokana na vurugu za mara kwa mara zilizopelekea wabunge wa upinzani kususia vikao hivyo anawaalika wabunge hao kwenye mazungumzo. Ndugai, ambaye kipindi kirefu cha Bunge la Bajeti lililomalizika hivi karibuni, alikuwa India kwa matibabu, aliyasema hayo Dar es Salaam jana...
Read More

No comments:

Post a Comment