Tahadhari Dhidi Ya Matapeli Kwa Waombaji Wa Mikopo HESLB

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwatahadharisha  waombaji wa mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2016/2017 na umma kwa imepokea taarifa kuwa kuna watu wasio waaminifu ambao si watumishi wa Bodi huwapigia simu baadhi ya waombaji kwa lengo la kuwatapeli. Taarifa hizo za kitapeli zimekuwa zikisambazwa katika siku za hivi karibuni kupitia mitandao mbalimbali ya...
Read More

No comments:

Post a Comment