Zari Ajiachia Na Mimba Yake!

13643712_499997453540448_11289730_n13687381_1155219074498356_879216275_n
Mpenzi wa Diamond Platnumz, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ akijipiga self kuonyesha mimba yake, wanatarajia kupata mtoto wa pili na mpenzi wake mkali wa wimbo ‘Kidogo’, Diamond Platnumz.

No comments:

Post a Comment