MSAADA KWA WATAKAOWEZA CHANGIA KWA WAATHIRIKA WA TETEMEKO
Kagera Association of North America(KANA) wanaomba kwa wale watakaopenda kutoa donation kusaidia wana Kagera walioathiriwa na tetemeko la ardhi. Tovuti yetu niwww.kageraassociation.org, na wanaweza kushare vile vile. Natanguliza shukrani. Tina Kakolaki
No comments:
Post a Comment