Kituo cha runinga cha Sound City (Sound City Tv) kimetoa orodha ya wasanii na vipingele watakavyowani katika tuzo za Sound City MVP. Kwa upande wa Tanzania, katika tuzo hizo tutawakilishwa na Diamond Platnumz, Ali Kiba, Vanessa Mdee, Navy Kenzo. Diamond yeye anawania tuzo ya Msanii Bora wa Afrika (Best African Of The Year) na Msanii Bora wa Kiume (Best Male), Ali...
No comments:
Post a Comment