Jumapili Novemba 27 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda aliendelea na ziara yake katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam akiwa na lengo la kusikiliza kero za wananchi na kuzitatua. Akiwa katika ziara hiyo, Mkuu wa Mkoa alipita katika viunga vya Kata ya Manzese na kutokea sehemu ambapo kula kilabu kinachouza pombe za kienyeji huku watu waliokuwa eneo hilo wakionekana kuwa wamelewa...
No comments:
Post a Comment