Kijana Ivan Bebeto (28), Duniani kuna mambo.
Stori: Hamida Hassan na Mtandao, WIKIENDA
Uganda: DUNIANI kuna mambo! Kijana Ivan Bebeto (28) yamemkuta ya kumkuta baada ya hivi karibuni kushikiliwa kwenye Kituo cha Polisi cha Katwe jijini Kampala kwa madai ya kuwatapeli wanaume kwa kujifanya ni mwanamke ‘jike dume’ huku akivaa mavazi ya kike, kujipodoa na kuvaa mawigi.
Habari zilizotua kwenye dawati la Wikienda zinadai kuwa, jike dume huyo hufanya biashara katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki hususan jijini Kampala (Uganda), Bujumbura (Burundi), Nairobi (Kenya) akitokea pia Dar es Salaam (Tanzania).
ANATUMIA JINA LA QUEEN
No comments:
Post a Comment