SHIRIKA LA MAGEREZA NA MFUKO WA JAMII WA GEPF WAJADILI UJENZI WA KIWANDA CHA NGUO HAPA NCHINI, JIJINI DAR

Maafisa Watendaji wa Shirika la Magereza wakifuatilia majadiliano ya uanzishwaji wa Kiwanda cha nguo aina mbalimbali ikiwemo sare za Majeshi ya Ulinzi na Usalama hapa nchini. Kikao hicho kimefanyika Novemba 25, 2016 katika Ukumbi wa GEPF Jijini Dar es Salaam. 
Maafisa Watendaji Wakuu wa Mfuko wa Jamii wa GEPF wakijadiliana katika kikao hicho cha kazi(katikati) ni Mkurugenzi wa Uwekezaji wa Mfuko huo, Bw. Festo Fule.
Kikao kikiendelea katika Ukumbi wa GEPF Jijini Dar es Salaam kama wanavyoonekana katika picha.
Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza wakiondoka katika viunga vya Ofisi za Mfuko wa Jamii wa GEPF mara baada ya kikao kazi(Picha zote na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).

No comments:

Post a Comment