Kipindupindu charejea kwa kasi, chatikisa mikoa 6

Serikali imesema kumeibuka upya kwa ugonjwa wa kipindu pindu katika mikoa sita ambapo takwimu zinaonyesha kuwa wapo wagonjwa 458 huku sita wakiwa wameshapoteza maisha kutokana na ugonjwa huo. Akizungumza na waandishi wa habari jana Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na watoto Mh. Ummy Mwalimu aliitaja mikoa yenye wagonjwa wa kipindipindu kuwa ni pamoja na Morogoro wagonjwa 282...
Read More

No comments:

Post a Comment