Serikali imeeleza dhamira yake ya kuongeza adhabu kwa watu wanaobainika kuhusika na rushwa ili wawe wanalipa fidia ya hasara iliyojitokeza mbali na kutumikia kifungo. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mh. Angellah Kairuki amesema kuwa adhabu zinazotolewa kwa wala rushwa ni ndogo ikilinganishwa na hasara wanayoisababishia serikali, hivyo marekebisho ya sheria hizo itamtaka...

No comments:
Post a Comment