ya MistariDarassa ni Madongo kwa Diamond?


YASEMWAYO yapo! Ukiusikiliza kwa makini Wimbo wa Muziki wa mkali wa Hip Hop, Shariff Thabeet ‘Darassa’ kisha ulinganishe matukio na baadhi ya mistari katika nyimbo za Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ utakubaliana nami kuwa, kuna vijembe vimetumika.
Tangu utoke wimbo huo na video ya Muziki ambayo hadi sasa ina watazamaji zaidi ya milioni mbili na nusu kwenye mtandao wa Youtube, wengi wamekuwa wakiusikiliza na kuucheza bila kujua tafsiri ya upande wa pili.
Katika makala haya, nimekuchambulia mistari ya wimbo huo na kulinganisha baadhi ya matukio na nyimbo ambazo Diamond ameziimba.
DARASSA;
Rudi utotoni,
usipotembea utabebwa mgongoni
DIAMOND;

Binti alie oteshwa na mungu kuwa DIAMOND ata mpa utajiri afunguka kuwa alisema uwongo

No comments:

Post a Comment