CHADEMA Watangaza Mgogoro Na RC Makonda

Ndugu viongozi Wabunge,Mameya,Madiwani,Wenyeviti wa Serikali za Mitaa pamoja na viongozi na Wanachama wa Chama Mkoa wa Dar Es salaam naomba kwa niamba ya Baraza maalum la Kanda ya Pwani ambalo lilikuwa likihutubiwa na Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe.Freeman Mbowe kwa kauli Moja wajumbe wote wameridhia kutokushirikiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar Es salaam Bwana Makonda kutokana na shutuma mbalimbali alizonazo. Nikiwa...
Read More

No comments:

Post a Comment