Kauli ya Waziri Nape Baada ya Video Kusambaa Ikimuonyesha Makonda Akiingia Clouds Media na Walinzi Wenye Bunduki

Waziri  wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Moses Nnauye amesema kuwa kesho Machi 20, 2017 atakwenda katika Ofisi za Clouds Media Group kujua kilichotokea baada ya kuwapo taarifa kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuwa ofisi hizo zilivamiwa.Taarifa hizo zinadai kuwa ofisi za Clouds Media Group zilizopo Mikocheni B Dar es Salaam, zilivamiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,...
Read More

No comments:

Post a Comment