Aliyekuwa Rais wa Korea Kusini, Park Geun-hye amefikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza kujibu mashtaka yanayomkabili, tangu alipokamatwa mwezi Machi mwaka huu. Mwanasiasa huyo aliyeondolewa madarakani kwa kashfa nzito, anakabiliwa na mashtaka kadhaa ikiwa ni pamoja na rushwa, matumizi mabaya ya madaraka na kuvujisha siri za Serikali. Hata hivyo, Park aliyefikishwa mahakamani hapo na gari la...
No comments:
Post a Comment