Diamond Platnumz ameonesha kukerwa na kitendo cha Zari ambaye ni mpenzi wake waliezaa nae watoto wawili. Kumekua na picha zinazosambaa mitandaoni zikimuonyesha Zari akiwa ndani ya maji nusu uchi ambapo kwenye picha alizopost yeye Zari, alionekana mwenyewe lakini kuna nyingine zimesambaa zikimuonyesha akiwa na Mwanaume. Diamond Platnumz ameonesha kuchukizwa...
No comments:
Post a Comment