Wanawake wa Chadema wamemtwishwa Regina Lowassa mzigo wa kuongoza mapambano ya ushindi katika Uchaguzi Mkuu wa 2020. Akizungumza na wajumbe wa Baraza Kuu la Wanawake wa Chadema (Bawacha) mjini Dodoma jana, Regina ambaye ni mke wa waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa, alisema maandalizi ya uchaguzi huo yanapaswa kuanza sasa. Katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, Lowassa aligombea urais kupitia...
No comments:
Post a Comment