Breaking News: Tundu Lissu Kaachiwa kwa Dhamana Leo
Mwanasheria MKuu wa CHADEMA na Mbunge wa Singida Mashariki leo tarehe 24 Agosti 2017 amepata dhamana ya polisi na kuweza kuachiwa huru baada ya kushiliwa na jeshi hilo kwa siku mbili, Tundu Lissu ameachiwa kwa dhamana ya Polisi kwa masharti ya kuripoti kituo cha polisi siku ya Jumatatu ya tarehe 28 Agosti 2017 wakati wowote akiwa na muda. Tundu Lissu alikuwa anashikiliwa na jeshi...
No comments:
Post a Comment