Godless Lema Ataka Polisi Wawaachie Huru Waliokamatwa Jana Wakiwa na Tshirt za Tundu Lissu

Mbunge wa Arusha Mjini ambaye sasa yupo nchini Kenya amewaomba Waziri wa Mambo ya Ndani na IGP Sirro wawaachie watu ambao jana walikamatwa na jeshi la polisi wakiwa wamevaa Tshirt za Tundu Lissu na UKUTA na kusema kitendo hicho kinazidi kuleta chuki. Lema amesema hayo kupitia mitandao yake ya kijamii na kudai kuwa watu ambao wameratibu maombi kwa ajili ya Tundu Lissu hawakupaswa kukamatwa bali...
Read More

No comments:

Post a Comment