Peter Msigwa: Sitaki Kuviziwa, Wakinihitaji kwa Utaratibu Maalumu Ntaitikia Wito

Mbunge wa Iringa Mjini kwa tiketi ya CHADEMA Mchungaji Peter Msigwa amefunguka na kusema kuwa amepata taarifa jeshi la polisi linamtafuta na kusema endapo jeshi la polisi litamwita kwa kufuata utaratibu basi na yeye ataitika wito huo ila si kuviziwa Mbunge Msigwa ametoa taarifa hii kufuatia kuwepo kwa taarifa toka jana kuwa kiongozi huyo naye anatafutwa na jeshi la polisi akidai kuwa ni moja kati...
Read More

No comments:

Post a Comment