VIDEO: Msigwa, Lema watema cheche Nairobi wakihojiwa kuhusu Tundu Lissu

Wabunge wawili wa Chadema wametumia mahojiano nje ya nchi kuzungumzia matatizo ya Tanzania wakisema hayawezi kumalizwa na mtu mmoja bali kwa mifumo imara ya mihimili ya Mahakama, Bunge na Serikali. Wakizungumza katika mahojiano na Kituo cha Televisheni cha KTN cha Nairobi, Kenya  jana Jumapili walisisitiza umuhimu wa kuwa na Katiba Mpya ili kuipa nguvu mihimili hiyo. Mbunge wa Arusha...
Read More

No comments:

Post a Comment