Mabasi ya Mwendo Kasi Dar Yagogan

Abiria wanaotumia usafiri wa mabasi yaendayo haraka (Udart) wamekwama Kimara kutokana na kukosekana huduma kulikosababishwa na ajali iliyotokea Shekilango, Ubungo. Vituo vya Udart vilivyoko Mbezi Mwisho hadi Ubungo vimefurika abiria baadhi wakiamua kutafuta usafiri mbadala. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano cha Udart, Deus Bugaywa amesema gari moja liligonga lingine kwa nyuma hivyo kusababisha...
Read More

No comments:

Post a Comment