Jaji Mkuu wa Kenya, David Maraga ameingia matatani baada ya wabunge wa Jubilee kutaka ang’oke kwenye nafasi hiyo ikiwa siku chache baada ya jaji huyo kutengua matokeo ya urais yaliyompa ushindi mgombea Uhuru Kenyatta. Mbunge wa Nyeri Mjini kwa tiketi ya Jubilee, Ngunjiri Wambugu amefungua mashtaka katika Tume ya Majaji akitaka Jaji Maraga ang’olewe kwa kile alichokieleza kuwa ‘utendaji wake...


No comments:
Post a Comment