Mbunge wa Iringa Mjini kwa tiketi ya CHADEMA Peter Msigwa amefunguka na kutaja majina ya wabunge wengine wa nne ndani ya CHADEMA ambao wamekuwa wakiwindwa na watu wasiojulikana ili kushambuliwa kama alivyoshambuliwa Mbunge Tundu Lissu. Msigwa amesema hayo leo akiwa jijini Nairobi nchini Kenya ambapo yupo huko kwa ajili ya kumuangalia Mbunge Tundu Lissu aliyeshambuliwa kwa risasi Septemba 7...


No comments:
Post a Comment