Peter Msigwa: Ndugai Alipaswa Kuwa GEREZANI Muda Huu na Sio Bungeni

Mbunge wa Iringa mjini kwa tiketi ya CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa ameibuka na kumvaa Spika wa Bunge Mhe.Job Ndugai kwa kumwambia hana sifa ya kuwa kiongozi wa kusimamia nidhamu ndani ya bunge bali alipaswa kuwa gerezani muda huu. Peter Msigwa ameleza hayo mchana wa leo alipokuwa mjini Nairobi nchini Kenya kumjulia hali Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu aliyeshambuliwa kwa kupigwa na...
Read More

No comments:

Post a Comment