JUKATA Kuandamana nchi nzima

Jukwaa la Katiba (Jukata) limemuomba Rais John Magufuli apokee maandamano ya amani kushinikiza kufufua mchakato wa Katiba mpya. Jukata limefikia maamuzi ya kufanya  maandamano hayo ya amani nchi nzima kutokana na makubaliano ya mkutano mkuu wa dharura wa jukwaa hilo uliofanyika Septemba 29 mjini Dodoma ambao pamoja na mambo mengine ulikubaliana kuyafanyia kazi maoni ya wananchi ambayo yamekuwa...
Read More

No comments:

Post a Comment